Sokabet — citiMuzik
in

Sokabet — citiMuzik

Sokabet ni kampuni ambayo kwasasa inaongoza kwenye suala la sportbet mtandaoni. Sokabet inatoa masoko mbalimbali kwa wapenda kasino na wapenda kubeti mechi za kila siku. Kupitia sokabet, sports betting na casino betting imekuwa jambo la kukimbilia sasa.

Sokabet kuna ofa na promosheni kabambe kila upande. Unaweza kuingia sokabet kupitia sokabet app inayopatikana google store lakini pia inapatikana kwenye website yao.

RELATED: Betika App – Download Betika App for Free

Sokabet Kuna Nini?

Hivi wewe ni shabiki wa michezo ya kubet ama sports betting?. Je unajua sokabet kuna kila michezo? Ndio kuna ile ya kasino na sports yaani mechi zote kuanzia basketball hadi football na mingine mingi. Sokabet ina kitu kwa kila mtu. Hutoa masoko mengi ya michezo ya kubashiri, ikijumuisha soka, mpira wa vikapu, tenisi na zaidi. Zaidi ya hayo.

Lakini pia, linapokuja suala la kufikia huduma za Sokabet, una uwezo wa kuchagua kati ya tovuti yao ama app yako ya sokabet. Tovuti yao ni rahisi kutumia na ni rahisi kuvinjari. Na pia ili kuhakikisha matumizi ya bet zako bila tatizo ama kikwazo chochote sokabet ina speed nzuri ya kimtandao. Lakini pia, unaweza kupakua App ya Sokabet hapa, ambayo inakuwezesha kuweka dau popote pale, na kuifanya iwe rahisi zaidi.

PAKUA SOKABET HAPA

Promosheni na ofa za Sokabet

1. 200,000,000 TZS Casino Tournament ya Kila Mwezi: Sokabet huandaa mashindano ya kila mwezi ya kasino yenye zawadi ya TZS 200,000,000. Wachezaji wanaweza kushiriki katika mashindano kwa kubashiri michezo ya slots kwa kuanzia kiasi kidogo kabisa cha TZS 100/-.

2. 200,000,000 TZS Sports Jackpot Ya Kila Wiki; Sokabet inatoa jackpot ya michezo ya kila wiki na dimbwi la zawadi ya TZS 200,000,000. Wachezaji wanaweza kushiriki kwa kutabiri matokeo ya mechi 13 tu. Hii ni kwa dau la TZS 1000 tu, na unaweza kuweka hadi mikeka mitano ya Jackpot.

3. 50,000,000 TZS Sports Jackpot Ya Kila Wiki; Sokabet pia hutoa sports jackpot tofauti na ile ya milioni 200 TZS ya kila wiki ukibashiria mechi 6 tu na kuweza kushinda TZS 50,000,000. Sawa na jackpot ya TZS 200,000,000, unaweza kubeti kwa TZS 1000 tu na unaruhusiwa kuweka hadi mikeka mitano ya jackpot.

4. 10% Casino Cashback Bonus Kila Siku; Sokabet inatoa bonasi ya kurejesha pesa ya kasino kila siku ya 10% kwa wachezaji wote waliobet na kupeteza pesa ama dau lao. Bonasi hii huwapa wachezaji asilimia ya hasara zao za kasino kama pesa za bonasi, kusaidia kukabiliana na hasara na kuboresha matumizi ya jumla ya michezo ya kubahatisha.

5. 10% Sports Cashback Bonus Kila Siku; Vile vile, Sokabet hutoa bonasi ya kurejesha pesa ya michezo ya kila siku ya 10% kwa wachezaji. Bonasi hii huwaruhusu wachezaji kupokea asilimia ya hasara kwenye bets zote ulizopoteza, yaani ukiweka hela ukabetia na mkeka ukachanika, unapewa bonasi.

Here are the links Sports Betting na Sokabet?

Wapi Naweza Ona Zaidi Kuhusu Sokabet?

Kama nilivyosema hapo mwanzo, Ikiwa ungependa kupata habari za promosheni na bonus mbali mbali za sokabet kama vile casino cashback bonus na sports jackpot, unaweza kuwapata kwenye akaunti zao za mitandao ya kijamii.

  • Akaunti yao ya Twitter, hutoa matangazo ya mara kwa mara kuhusu matukio yajayo. Lakini pia na matoleo ya kipekee ya bonus zao kama vile 200,000,000 TZS Casino Tournament.
  • Ungana na Sokabet kwenye ukurasa wao wa Facebook. Ili ushirikiane na watanzania wengi ambao tayari anatembelea kurasa hii ya Sokabet Tanzania na kupata updates za habari zote kuhusu Sokabet na ofa.
  • Pia unaweza kuwapata kwenye ukurasa wao wa instagram kwa jina la sokabetafrica
Jinsi Ya Kubashiri Na Sokabet

1. Tembelea tovuti ya Sokabet; Anza kwa kutembelea tovuti ya Sokabet hapa kuongeza nguvu ya kubet yaani pawabet yako. Pia Unaweza kuipata kwa kutafuta “Sokabet” mtandaoni.

2. Jisajili na upate Akaunti; Kama hauna akaunti ya Sokabet bado, Tafuta kitufe cha “Login” au “Register” kwenye ukurasa wa Sokabet, upande wako wa kulia. Bofya Kukamilisha usajili.

3. Utatumia namba yako ya simu. Ndani ya sekunde 5 tu unakuwa tayari una akaunti ya Sokabet.

4. Usisahau kuunda Nenosiri (password) rahisi yenye tarakimu kuanzia sita ili usiweze kuisahau. Hakikisha kuwa umeweka maelezo haya rahisi an unayoweza kuyakumbuka ili kulinda akaunti yako.

Ukiweza kujiunga na kufanikiwa kuweka pesa, utaweza kupataiwa bonus ya asilimia 100%, Hii First depoosit bonus ni nzuri na amana safi kabisa utakayotumia kubet sports betting na casino betting

Our Score

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

GIPHY App Key not set. Please check settings

Win iPhone 14 100% Free 🤩🤩

Win iPhone 14 Free Online

100% Safe & Secure No Spam👍️